Tuesday, February 22, 2011

4 comments:

emu-three said...

Duuh, wapi hapa mkuu?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

uganda

Goodman Manyanya Phiri said...

Udongo wenye rotuba na mvua kila wakati: UGANDA, THE JEWEL OF AFRICA!

(Siku nitakapokuwa tajiri nitanunua nyumba kama hiyo) kwenye sehemu kama hiyo nami niwe mkulima.

Je unaweza kuongea na Raisi Museveni anipatie sehemu kama hiyo bure, Mkuu?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

hapana,siwezi sina ukaribu naye. ila hapa bukoba pako kama Uganda na kama unataka ardhi ya kununua na kuwa mkulima ipo, mimi ni mkulima pia