Thursday, February 3, 2011


huyu jamaa alisoma hapa. na sasa ni wakili fulani, watu hutoka mbali wakati mwingine

1 comment:

emu-three said...

Na kweli hutoka mbali, kuanzia `kichanga' ukaja `utoto' ukaja ujana, na sasa sijui ni nani...! Ni kama ana tu!
Utakuwa ukishangaa watu wakikuita `babu, babu...' ndipo utashituka nakusema hivi nimezeeka...' ndio maisha ...!