Monday, February 21, 2011

naruuuudi, naruuudi,
kuutoka mbali,
narudi jama
naruudi naruudi
sasa naruuudi

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hukuweza kuwa mbali nasi ni furaha ilioje kwa ujio wako KARIBU KARIBU KARIBU SANA:-)

Goodman Manyanya Phiri said...

Mkuu wewe!


Kumbe uliondoka kweli pamoja na kwamba tulikukataza usiondoke?


Rudi basi haraka upate adhabu yako

SIMON KITURURU said...

Karibu tena Komandoo!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Kublogu ni uraibu na kuacha tu kwa haraka bin vuu haiwezekani !!!

Karibu tena baada ya likizo ya wiki moja.

Goodman Manyanya Phiri said...

Anazo tu pilikapilika ndogo, lakini yule ni mzima tena wa afya. Niulize najuaje?


Mimi (+27123552783)Nilimpigia simu yeye (+255754771601) dakika sita zilizopita. Yule ni mchangamfu katika maongezi ya simu kama vile anavyokuwa mchangamfu kimaandishi.

Tutafanya maandamano akituacha hivihivi!


Labda kesho tutapata lolote kutoka kwake: angalau majibu juu ya COMMENTS zetu.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mhhh labda kweli labda nimerudiila sijui