Friday, March 4, 2011

angalizo,

Niko safari, nimejikuta nikiwa eneo fulani la wakimbizi japo mimi sio mkimbizi na ninatingwa na shughuli za kivijijini na kwa hiyo basi, naomba kuadimika hapa kwa siku mbili tatu hivi.

mbakasinge waitu

2 comments:

SIMON KITURURU said...

NIdhani wewe ni MKIMBIZI kwa kuwa karibu kila siku uko njiani!:-)

Goodman Manyanya Phiri said...

Ombi lako umepewa.

Unatuaibisha lakini sisi tunaotoweka bila kuaga.

Siku ya kurudi utupashe mambo ya huko ukimbizini, Mkuu!