Tuesday, March 15, 2011


5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kamala huo ni mti gani? mazingira yapo kijana naona kuna mvua nyingi:-)

Chib said...

Vipi. Ndio mti wa Babu nini??

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

nimeugundua ndo huu

SIMON KITURURU said...

Hapo panafaa kweli kugangia yani!Ukimpeleka tu mtu atahisi uwepo wa nguvu fulani!

Ingawa nahisi panafaa sana kwendea haja kubwa pia kwa kuwa vichambio vya majani na pori la kujificha ili kushusha kilo ni bwelele na lenye afya!:-(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Mugariga huooooo