Thursday, March 17, 20113 comments:

John Maembe. said...

Babu Ambakile Mwasapile.
Hiyo dawa Kiboko, maana cjui nani ambaye ni maarufu hajaenda huko kwani wa2 wengi 2mashasikia na kuambiwa na wengine tumewaona kupitia vyombo vya habari kuwa wanapata "KIKOMBE".

Ni vizuri lakini wasimsahau na mzee kwani washwahili husema "Baniani Mbya Kiatu Chake Dawa" nimemaliza.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Kikombe kile cha baraka tukibarikicho..je si ushirika wa dawa ya babu wa Loliondo?....lol!

emu-three said...

Nitashangaa mtu ulishakata tamaa ya kusihi umepewa dawa umepona..halafu una uwezo ...mjengee babu nyumba!