Friday, March 25, 2011

meditation (uzingativu) kila kitu kimo ndani mwetu

ni vigumu labda kuelewa juu ya hili soma la meditation au maombi ya uzingativu, lakini tukilielewa tutagndua ya kwamba kila kitu kimo ndani mwetu, hatutatanga tanga kwenda kwa babu lolindo wala kuishi kwa maumivu makali

sasa viongozi wa dini wanagombania waumini / wagonjwa wao, wanamwona babu kuwa tishio la wateja wao

tungejua kuwa kila kitu kimo ndani mwetu, tusingetanga tanga. ishi ni kukaa na kujisikiliza, Mungu ataongea nasi hivyo

sio utajiri wala uponyaji, kila kitu kiko sawa ndani mwangu hata nadani mwako wewe.

unasemaje?

2 comments:

emu-three said...

Mkuu mwanzoni nilisikia huyu babu anatibu ki-imani, mara wanaimani wenzake wakaanza kumpinga, mara nikasikia tena ni miti shamba...
Kama ni miti shamba, zipo dawa nyingi za wachina hata Wamerakini zinakubalika, kwanini sasa huyu `tumpinge' labda kama ni ki-imani hapo kutakuwa na `utofauti' kama imani zilivyo tofauti, kila mtu na imani yake!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

ndio. kama ni kiimani, ila sasa kumbuka mimi simpingi na wala simsapati. niko liberal katika hilo