Monday, March 21, 2011

wahenga eti elimu ni ufunguo wa maisha!

naongelea marehemu wa zamani au hayati waliotuachia maneno ya kusingizia kama hatuna jipya nasi twahita misemo,

sasa eti elimu ni ufunguo wa maisha, kwani maisha yanakuwa yamefungwa? kwa hiyo wasio na elimu maisha yao hayajafunguliwa?

tuangalie vizuri maneno yao hawa na mengine tuyatupilie mbali kwani hayatufai hata kidogo