Tuesday, April 19, 2011

CCM hawajui tunachohitaji, sio kufukuzana na wafadhili wao /mafisadi

eti wanajivua gamba, wakobize kwenye kuwafukuza wafadhili wa chama chao eti wanatuhuma. watanzania tunahitaji kuona wakifukuzana au kwa kuwa ni chama tawala twahitaji kuona maisha bora, twahitaji gharama za maisha zishuke, elimu ya maana, huduma za afya, uchumi wa wote, wakulima wawezeshwe kuzalisha na kuuza mazao yao bila kunyoonywa nk hatuhitaji sana kuona wakifukuzana eti wanachukia ufisadi, hivi ni kweli CCM yaweza kuuchukia ufisadi namafisadi? mbona kikwete alisema hamna ushahidi, iweje leo anaona nongwa? wauza unga je aliodai anawajua? sasa kawafanya nini si wapo wanatesa? twahitaji sera rafiki na uchumi shirikishi na sio migogoro yao vinginevyo waachie chama kingine kichukue hatamu

No comments: