Thursday, April 7, 2011

mkeo ni mama yako tu

huwa kuna maswali na mikanganyiko isiyo na msingi sana kwa wazazi wa kike kuwaonea wivu wakwe zao kisa watoto wao huwaita wale wakwe kuwa mama. mama hujisikia kama ame-replasiwa! ila sasa kiuhalisia mkeo ni mama yako! nakubeba kama alivyokubeba mamayako, aweza kukunyonyesha na kukutomasa. kubwa zaidi, kama mwanaume ukipatwa na jipu kwenye kibox cha lisasi (pumbu) hautakwenda kumwomba mama akuangalie, bali utamkimbilia meo na kumwoba aone hali ikoje kwa hiyo mkeo ni mama yako.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nataka kuwa tofauri kidogo nawe hapa. Mimi ningesema mke ni mke na mama ni mama. Mama yako ni mama yake na mke wako ni mama wa watoto wako. Kila mmoja hapa ana kazi yake...kwa nijuavyo mimi.

Mcharia said...

Upo kwenye Tahajudi nini nyegerage.

Goodman Manyanya Phiri said...

Amini usiamini, baada ya kurekebisha au kutengeneza box hiyo ya risasi huyo mama yako wa kambo atakwenda kumwambia mama yake mzazi jinsi box hiyo ilivyokuwa imeharibika awali.


Mama yako mzazi, kwa hiyo, anahaki kabisa kupata wasiwasi amepokonywa madaraka yake.

emu-three said...

Kwa msemi tu, unaweza kusema hivyo, lakini `mke ni wewe na wewe ni yeye' na mama ni kitu kingine, thamani yake ni ya juu...mkuu `nani kama mama' nenda kaisome imeishia!