Thursday, April 28, 2011

ninapokuwa nyumbani
huwa napenda vazi hili, lina uhuru mwingi ndani mwake

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

ha ha haaaa eti unapenda kuvaa kanzu ina uhuru... kaazi kweli. Hapo ulikuwa unaangalia nini?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

TV

emu-three said...

Safi sana hili vazi...vazi takatifu, ...! Imeandikwa;4 Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; haya ndio mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa....

Goodman Manyanya Phiri said...

Miangaza ya jua na hewa bora vyote ni wageni sana nyumbani kwako! Mungu akupe nini zaidi, Ndugu yangu?

Ubarikiwe zaidi!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

@emu-three sikujua kama ni takatifu ila tu linanivutia