Tuesday, April 12, 2011

what did you goodbye your home?

hiki nikiigereza alichokionge kaka mkuu (HP) wa shule moja maarufu mjiini bukoba akimaanisha umeaga nyumbani kuja kufanya nini shule, kuja kusoma au kuja kucheza?


what did you goodbye your home, did you goodbye to come to play or you goodbye to come to study??

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kaazi kwelikweli!! afadhali angetumia kiswahili tu kuliko kutafsiri kila neno. Au alifikiri kiingereza angeeleweka zaidi sijui? najiuliza tu kwa sauti....

SIMON KITURURU said...

Life itself is a school! Kwa hiyo labda KUgoodbye kitu ni illution.:-(

SIMON KITURURU said...

DUH! Kuhusu illusion za KUgoodbye kitu,...
.....ngojea nifikirie zaidi!:-(

Umeniwazisha ndude Mkuu!

Goodman Manyanya Phiri said...

Jamaa aliambiwa na mwalimu: "Kitendo, kama ni mtu mmoja unaongeza '-s', na kama ni wengi, hamna '-s'.

"Mfano

"'The one man EATs coconut'.

"'The many men EAT coconut'.


Jamaa alishikilia kama alivyoambiwa na kisha kaingia katika sherehe fulani na watu, kila mmoja na mpenzi wake, walikuwa wanaimba wimbo mmoja maarufu: 'YOU BELONG TO MY HEART'.

Yeye akaona kosa kwa "belong" badala ya "belongS" (simpenzi mmoja?)akawa anawa 'rekebesha' wenzake papo hapo kwakosa lao! Akaimba kwa sauti kubwa kuliko wengine kwamba inastahili kuwa "You belongS to my heart".

Kifupi, Kiingereza ni moja ya lugha ngumu kuliko zote duniani. Hata Waingereza wenyewe ni maarufu kwa kutojua lugha yao!

Mzungu mmoja rafiki yangu yeye anasema kwa kikwao: "ENGLISH IS THE ONLY LANGUAGE IN THE WORLD IN WHICH YOU CAN TELL SOMEONE TO GO TO HELL WITH THE RESULT THAT THE PERSON NOT ONLY TAKES THE ORDER, BUT LOOKS VERY EAGERLY FORWARD TO FULFILLING IT"

Mcharia said...

Hiyo shule ina waalimu au!!