Monday, May 23, 2011

nyuma ya picha ni chandarua chenye dawa

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kumbe unaogopa mbu? Hii picha kama vile umekasirika au unatutisha vipi?..LOL

SIMON KITURURU said...

Tatizo ndani ya siku ni masaa machache tu mtu anakuwa ndani ya chandarua!Na nasikia MBU ni wajanja kama hawata kudaka ukiwa ndani ya chandarua wanaweza kukuvizia hata Sebuleni au tu migombani katika uchochoro wakati unatoka kudoea :-(

emu-three said...

Malaria haikubalikiiii!