Friday, June 17, 2011

7 comments:

Anonymous said...

nani kakusasirisha hivyo??

Mija Shija Sayi said...

Kamala kwa mkwala?...acha watu wakuogope!

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina na Mija mmeniwahi nami nilitaka kumuuliza vipi mbona kakasirika sana kuna nini? Hata hivyo hatukuogopi ngóooo

SIMON KITURURU said...

DUH!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Pengine kuna mtu kagoma ku-meditate hapo...Leo cha moto atakiona !!!

emu-three said...

Amesimama ki-uaskari..SAFI SANA MKUU, HAPO UPO KAZINI, AU SIO?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mi ni noma, jifanye mjanja. ila sasa ndani ninafuraha japo nje naonekana noma