Tuesday, June 7, 2011

Dar kuhudhuria mhadhara wa santmat meditation

nitakuwepo. wakati wowote kuanzia sasa nitafika jijini kwa ajili ya kuhudhuria mhadhara wa Santmat meditation utakaofanyika Russian culutural center siku ya jumapili saa11 za jioni

nakukaribisha na wewe tuambatane pamoja tujifunze mambo mapya

3 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Mambo yalikwendakwendaje huko, Mkuu?

Tupashe, tafadhali!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

poa ni jumapili ijayo, nitawajuza tu

Goodman Manyanya Phiri said...

Asante ile ya mategemeo, basi! THANKING YOU IN ADVANCE, Mkuu!