Tuesday, June 21, 2011

kazi ya ualimu


kama unafikiri kazi ya ualimu ni rahisi angalia vizuri hapo then uimajini ungekuwa ni wewe

1 comment:

SIMON KITURURU said...

Mie kwangu ualimu naona mgumu sana! Ila naamini kunawatu wanakipaji nao na kwao ni rahisi!


Nikikumbuka walimu wangu ,...
..kuna ambao nastukia kwao ilikuwa ni rahisi sana hata kukontro wanafunzi bila kiboko wala nini! Kuna kitu tu walikuwa nacho ambacho wakitokea wanafunzi wenyewe wanakaa mkao wa usikilivu!