Friday, June 3, 2011

Santmat meditation; mkutano wa hadhara

kwa taarifa yenu,

kutakuwepo na mhadhara juu ya meditation ya santmat jijini Dar es salaa jumapili tar 12-13/6/2011

utatolewa utambulisho juu ya santmat meditation na umuhimu wake, sisi ni nani/nini Mungu, the way back home na umuhimu wa vegeterianism.

wote mnakaribishwa na juu ya venue nitawajulisha soon na kuna matangazo yatatolewa kwenye magazeti na TV

4 comments:

chib said...

Sisi wapenzi wa nyama hapo hatuji bwana, msije mkatupa mchanganyo wa mawazo :-)

Goodman Manyanya Phiri said...

@chib

Si lazima uchukue vyote. Unaweza upende hiyo MEDITATION lakini wendelee tu na kula hicho chakula cha simba!

Nami kusema ukweli napenda nyama, lakini pia napenda MEDITATION ambao wataalam wake wadai "NI MAZOEZI YA AKILI PAMOJA NA YA ROHO YA MTU VYOTE MFUKONI MMOJA".

Asante, Mkuu, kwatangazo!

SIMON KITURURU said...

Mmmmh!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

poe chib