Thursday, July 14, 20112 comments:

Goldian Kaningo said...

Nakushukuru Mr.Kamala kwa kutuonyesha mji wetu wa Nshamba ingawa unaonekana umechoka sana .Maana huwezi kuamini kwamba ulikuwa na Waziri enzi Mkapa.Tuwekee angalau na mazingira ya vijijini kama Kigemu au Igabiro na hata Bugarama watu kama sisi tulio kwenye mikoa ya mbali tuwaonyeshe angalau zao la ndizi marafiki wetu.Nitashukuru sana ukifanya hivyo ingawa na Mnyauko inatuharibia.

Goldian Kaningo said...

Hujatwambia hiyo ilikuwa hotel gani pale stend