Monday, July 18, 2011

Epi Bechi dei MWombeki


Siku mwezi, miezi mpaka mwaka, leo ni jumatatu ya ukweli, ni siku ya kuzaliwa kwa kijana wangu, Mwombeki Lutatinisibwa, katimiza mwaka wake wa kwanza hapa duniani, ni bethday maarufu inayoendana na ile ya babu yake au baba yangu, pia inaendana na ila ya Mandela

Babake niko mbali na niko kazini lakini nisiku ya furaha kwa kijana wetu na sisi wazazi wake tunafurahia pamoja naye, hii ni hatua muhimu katika maisha yake na uzeekaji wetu.

Siku chache baadaye ni ile ya babake,

Anyway, ahongere kwa siku yake ya kuzaliwa,

HAPPY BIRTHDAY my dear one and only one begotten son, Mwombeki!

6 comments:

emu-three said...

Ahongere...HAPPY BIRTHDAY MWOMBEKI

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

hongera Mwombeki!

SIMON KITURURU said...

HAPPY BIRTHDAY Mwombeki Lutatinisibwa!

Goodman Manyanya Phiri said...

Nami niwahi kabla lango halijazibwa milele:

HEPI HEPI BETIDEYI BABU KUBWA MWOMBEKI! (La! Lakini sasa unaangalia nini huko kando? Mawazo yako wapi? Na kweli ni babamtu kajifanya fotokopi huko!!!)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mh fatokopi!

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA MWOMBEKI LUTATINISIBWA..MIMI NI SHANGAZI YAKO... Hongera nyingi kwa wazazi pia na mwenyezi Mungu awape nguvu zaidi ili muweza kumtunza kijana huyo kama itakiwavyo.