Thursday, July 28, 2011

ni Muongo wa tatu, nasonga mbele miaka 30 sasa


ni maisha, tangu 1981 mpaka sasa, nasonga mbele, ni miaka 30 ya kuishi hapa duniani na labda nafurahia maisha. mambo hubadilika nilishakuwa mmoja katika wengi kwa maana ya mimi mke na sasa mrithi au fahali ya ndoa nikirejea nyuma, nakumbuka mengi nilivyokuwa mdogo, sikupata picha ya nikifikisha umri kama huu wa leo itakuwaje, angalau nitakuwa na familia na ni kweli anyway nifaraja kufikia umri huu wa miongo mitatu na mwili unazidi kuchakaa sasa.

nimetoka kwenye maisha ya ujana ya raha, ya nini sijui na kuingia kwenye maisha ya kuwajibika, kutegemewa na hata kufuatwa kwa ushauri na vitu kama hivyo
nafurahia maisha ni hatua mpya namaisha katika muongo mupya

HAPPY birthday KWANGU

6 comments:

Mcharia said...

Amani kwako

Tumaini Munale said...

Hongera sana kaka kwa kufikisha umri huo.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Hongera Kamala. Miongo 30 si mchezo ati.

Hongera kwako pamoja na wapendwa wako wote !!!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

amen

Yasinta Ngonyani said...

Naamini sijachelewa! HONGERA SANA KWA KUTIMIZA MIAKA 30 KAMALA.

SIMON KITURURU said...

Ingawa nimechelewa,..
.... Hepi kidude Komandoo!
Ndio maisha Mkuu!