Thursday, August 18, 2011hata kama anajifanya yuko bizee, angalia mkono wa huyu jamaa, una kidude cha njano na chekundu na sijui ni nini hiki

4 comments:

emu-three said...

Kwani ni kitu gani mkuu? Samahani natumia mtandao wa simu haionyeshi vyema.hata hivyo tupo pamoja mkuu

Yasinta Ngonyani said...

em-3...mimi nadhani hayo ni mambo ya kandanda...

chib said...

hirizi!

Anonymous said...

kitu cha mizimu hicho