Tuesday, August 16, 2011

cheka unenepe, japo unene sio dili6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mmmh!!basi nitaacha kucheka..kwa vile sitaki kunenepa..LOL

chib said...

Kamala utafiti huu umeufanyia wapi?

Goodman Manyanya Phiri said...

@Kamala
@Yasinta


Kamala, Sisi Waswahili na baadhi ya Wazungu tunawapenda watu wanene! Kwa hiyo, Mkuu Kamala weee: kama unene ni dili au sio dili hamna mjadala kama huo kabisa!


Na huo uzushi kwamba [dada zetu kama Yasinta waache kunenepa ili eti wawe wazuri zaidi au wawe wenye afya nyingi] sijui ulitokea wapi... waanzilishi wa uzushi huo wakamatwe wote na kufungwa jela kabisa!


Na kama huniamini Kamala wewe, tafadhali soma hapa:


http://www.eurekalert.org/pub_releases/2011-08/yu-fah081211.php

AU HAPA:

http://www.sciencedaily.com/releases/2011/08/110815095034.htm
@KWAKO@ YASINTA


Cheka kidogo na nenepa zaidi tafadhali, Toto Yasinta! Mie nakuomba ucheke! Na siku nyingi nilitaka utupatie picha yako yenye kicheko na meno yote nje sio kutukodolea macho kama utamchinja mtu bure (LOL!!!).. mimi sipendi namna hio, Dada Yasinta wewe au nitakusemea kwa Baba yetu Mngoni!! (LOL!!!)Kuhusu wazo la ubaya katika unene, wewe Dada Yasinta usimjali huyo Kamala!!!! Kamala amekonda.. si nawe picha zake umeziona?; sasa sijui anataka tumuige nasi nini ikiwa huku tunataka kunenepa zaidi!


(WENGINE... http://ruhuwiko.blogspot.com/2011/08/vyakula-vya-asili-na-kinywaji-cha-asili.html


...TAYARI TULIKUNYWA TOGWA TELE KARIBU MIEZI MIWILI HUKO SONGEA RUHUWIKONI ili tunenepe zaidi na Kamala leo niseme labda anakuja kutuvunja moyo bure!)


Vibaya hivyo, Kamala! Acha Tunenepe Vicheko Hatuachi!

Mzee wa Changamoto said...

Dili lolote si dili.
Lol
Umependeza kaka. Cheka(ga) kila siku na kila wakati

emu-three said...

Tehe-tehe....' mmmh, cheka unenepe, na wengine wanasema cheka uongeze umri!

SIMON KITURURU said...

Mmmmmh!