Friday, August 26, 2011

kichwa cha mwanamke na utukufu wa mwanaume, mwanaume utukufu wa Mungu

katika wakoritho wa kwanza sura ya kwanza wanaongelea habari ya kichwa cha mwanaume kuwa utukufu wa Mungu na cha mwanamke kuwa utukufu wa mwanamume na kuongeza ya kuwa kama mwanamke anakwenda ibadani na afunike kichwa chake na kama hataki, basi anyoe nywele zake

kwa mantiki hii na niangaliapo wanawake na saluni na kujichubua, the nikajiuliza ni kwa nini, lengo kuu ni kupendeza na kuvutia, ili iweje? wanaume bila shaka wawapende, na kwa hiyo ni kweli kuwa kichwa cha mwanamke ni utukufu wa mwanamume na ili mwanaume aweze kuabudu vizuri, ni vyema kichwa cha mwanamke kifunikwe ili kisimtege akakiangalia chenyewe badalaya kukonsentlete kwenye ibada

hii ni kweli

1 comment:

Goodman Manyanya Phiri said...

Salaam, Mkuu tena, Kijiweni!

Ungekuwepo uwezo wa kurudia na kurekebisha maandishi matakatifu, kweli maandishi hayo yangefutwa kabisa kwani yanaendeleza ubabe wa kijinsia dhidhi ya wanawake.

[Kichwa cha mwanamke] cha nini? Mbona mwanaume mjinga ataikosa hiyo konsentileti ibadani hata akiona hata paja wengine ziwa tu la mwanamke? Na vilevile nani amesema wanawake nao hawavutiwi na vichwa vya wanaume kiasi cha kupoteza konsentileti?