Tuesday, August 9, 2011

"we mtoto, mtu mzima na akili zangu naweza kunya ndani ya nyumba?"

mzee mmoja huko kijijini kwetu baada ya kumsomesha kijana wake, akapata ajira na fedha kama takataka (fedha nyingi) then akarudi kijijni na kuamua kumjegea babake nyumba ya kisasa, katika kumuonyesha ramani anamuonyesha sehemu ya kujenga choocha ndani, ghafra mzee anakuja juu,

'yaani we toto lijinga kweli sijui hata shule uliisomaje, yaani waweza kujenga choo ndani ya nyumba? yaani mtu mzima na akili zangu ninye ndani ya nyumba? ujinga ganni huu, sitaki kusikia upuuzi huu!!'

basi ikabidi nyumba ijengwe bila choo, then baada ya muda mzee akafa, kile chumba kilichokaa kama stoo ndno ikachongwa choo.

interestingly wazee yule hakutaka habari za kujenga choo ndani ya nyumba.ni kweli wazee wanapitwa na wakati kwa mtizamo huu?

2 comments:

Anonymous said...

mimi kamala nilipojenga nyumba niliweka choo changu peke yangu tu wengine wote nimewajengea nje kasoro mimi na mama yao ndo tuna choo chandani kwa maana itakuwaje mgeni aje kunitembelea anye kwenye nyumba yangu,na watoto wasibweteke wakijenga nyumba zao ndo waweke vyoo humo kwenye nyumba zao

SIMON KITURURU said...

Hii stori Baba alinisimulia Babu yake hukuweza kumuelewesha maswala ya choo cha ndani! Na kwa Babu na sehemu kibao ambazo ilijulikana ataweza kualikwa msalani mzuri nje ya nyumba ili kuwa moja ya ramani ya nyumba!