Thursday, September 15, 2011

congamamo la kijinsia limkomboe mwanamke dhidi ya kujitia sumu

kuna tamasha la kijinisia jijini Dar, napendelea kusikia tamasha hili pia likiongelea hatari ya mwanamke kujiharibu kwa kujitia sumu na hivyo kujiharibu yeye, watoto, mume na jamii kwa ujumla eti anatafuta urembo ili kupendeza

tamasha hili limwonyesha mwanamke kuwa uzuri wake umo ndani mwake na sio nje yake kwenye kemikali na sumu kibao za kujiharibu

limuonyesha mwanamke kuwakamilika alivyo bila kulazimika kujitia masumu kibao yasiyo na maana na sio kuonyesha wanaume tu kama hatari kwa mwanamke

ni mtizamo

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Sijui kwa nini hatuliziki na jinsi Mwenyezi Mungu alivyotuumba...mwafrika anataka kuwa mzungu na mzungu anataka kuwa mwafrika...nk nk

Anonymous said...

kweli yasinta mzungu anataka kuwa mwafrika?nahapo kamara umesema yaani wagamba nakuhulila watu wanajipaka sumu eti wawe wazuri mimi ilikuwa kasheshe kumweka sawa mke wangu yy ni mweusi tena ule weusi wa kupundeza lakini eti aweke kidogo dawa abadirishe nikamwambia kwani unakasoro gani?nikamwambia chukua kioo uangalie uso wako kasoro uliyokuwa nayo uniambie nikuruhusu uweke hiyo misumu yako

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

anony, Nkagambila mukazi wange nimwenda muno, chonka kanakushanga yanaba ezi esumungu abe mujungu anga kuta ebintu omumutwe, basi agye aige omushaija omundi!

Yasinta Ngonyani said...

Anony! ndiyo wanataka wanajitaidi kununu cream kujipaka na pia kuota jua ili mradi wapate rangi kama yetu...

Anonymous said...

sawa nimekuelewa yasinta lakini hivi haya manywele ya kichwani huwa hawasikii uzito?je saa yakuoga inakuwaje au kukaa mwezi mzima bila kutia maji kichwani sijui inakuwaje mimi masaa bilakuoga kichwa inakuwa tabu seuse mwezi mzima