Friday, September 16, 2011

furaha ya ndani

katika mapenzi yangu ya tahajudi, au meditation, au maombi ya kimya/kina huwa ni ile furaha apatayo mtu kutoka ndani mwaka, uhuru, ushapu na ubunifu awao nao mtu

maisha uonekana mepesi na kweli huwa mapesi hata kama huna ela, nguvu hasi zote hosogea mbali nawe, basi wasafiri kurudi nyumbani.

furaha ya ndani ni muhimu kwa maisha yetu

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Kamala ...Ni kweli kabisa kuwa na furaha ya ndani ndio mwongozo wa maisha ..ngoja nami nianze meditation/maombi haya..

SIMON KITURURU said...

Furaha ya ndani ni muhimu ila jinsi ya kuipata hata kimeditesheni huhitaji ujue janja zake kivitendo saa nyingine kwa kuwa unaweza ukajikuta dawa wajua lakini kuimeza chungu pia !:-(

Mcharia said...

Shughuli @Simon Kitururu.