Tuesday, September 27, 2011

hesabu au mathematics ni nini?

kuna wanaosema hesabu ni filosophia kwa kuwa kuna mchango wa wanafalsafa katika hesabu kama vile Pythagoras, kuna wanaosema hesabu ni maisha ya kila mtu kwani sote tunahesabu kila siku na kila kitendo nakila pahala

kuna wanaosema kuwa hesabu ni siasa kwani tunaambia moja ni sawa sawa na mbili au katika ndoa mbili huwa moja!

ila sasa kumbe hesabu ni vitendo vinne, yaani kujumlisha, kuzidisha, kutoa nakugawanya.

hapana, hesabu ni matendo mawaili tu. kujumlisha na kutoa! bila kujumlisha na kutoa huweza kufanikisha hesabu yoyote ile chini ya jua!!

3 comments:

emu-three said...

Mkuu nami kwa mhasibu nasema hesabu ni kudebit na kuredit! Maana kwa vyovyote iwavyo, ukitoa huku kwingine kunaingiza, na ukiingiza huku kwingine kuna toa.
Mkuu nimepata kauchochoro klidogo ndio maana nafanya haraka kumpitia kila nitakayeweza

Goodman Manyanya Phiri said...

Hesabu kwangu ni Mungu. Mara nyingi unaambiwa "Gawanya"; na jibu lake "...AD INFINITUM" = "...HALINAMWISHO"

nyahbingi worrior. said...

Habari za siku.
Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
http://blogutanzania.blogspot.com/
kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
Ahsante
Luiham Ringo.