Monday, September 12, 2011

masikini waliokufa kwa ajali ya meli kule zanziba

imenikumbusha habari za MV bukoba japo idadi ya waliokufa haijafikia ya wale wa Mv Bukoba, kilichoniuma ni kuona watoto wa umri wa kijana wangu wakiwa wamekufa kitakatifu. kibaya zaaidi ni kuchelewa kwa uokoaji na kumbe wasingekufa wengi. mbaya zaid ni eti ilikuwa ni meli ya mizigo na hvyo abiria walipanda kwa umaskini au masikini ndo wamekufa lukuki

nikiangalia usafiri wa majini ni kitu nikipendacho na nilichokizowea pea. safari zangu kati ya Bukoba na mwanza huwa ni kwa meli kwa makusudi kabisa kwa uharaka, usalama na upenzi wangu kwa usafiri huo.

meli ifikapo umbali fulani, ukioka nje huoni nyuma huoni mbele, unaona tu maji yameuganika na ule ubuluu wa juu tuuitao mbingu, swali huja, je meli ikifa hapa itakuwaje? sasa imajini wasafiri wale meli inazama, hawaoni nyuma wala mbele, yale yale ya Mv Bukoba, uokoaji unakuja masaa mengi baadae.
siseme pole na wala sisemi tuwaombee waliokufa kwani binafsi stowaombea japo inauma

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kamala Usafiri wowote ni hatari kwa hiyo mtu unaposafiri ufikapo salama basi ni kushukuru tu. Na halafu Kamala hivyo ulivyoumia tayari umewaombea...

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

basi AMINA

Anonymous said...

kamara omurwakashatu ekilo kwimuka omrwakanne nkagilota egyo eajari shana tindamanyile neija kutokea nkahi,,,..

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Yes bwana anony, tuna nguvu nyingi sisi za kujua hata ambayo hayajatokea.
tulia na sikiliza utajua njia sahihi isiyo na ajali