Friday, September 2, 2011

meditation is the way of life

I love meditation,,
napenda kutulia
na kuweka uzingativu kweye kitu kimoja
napenda ku-empty mind yangu
na kutuliza mawazo yagu
napenda meditation
naona ina faida
meditation ni njema
yaniepusha na nisiyopaenda
yanipatia niyapendayo
meditation yasafisha akili,
yafukuza nguvu za giza
ni kunijazi zile imara au chanya


tukiachana na hili unafahamu ya kuwa waanzilisha kariu wa din zoote walipenda meditation? walikaa pembeni na hasa milimani au bustanini peke yao? mfano wa Yesu anaonekana kuwa Bustanini, milimani na hata kujaribiwa na shetani kule mbugani?
hata mtume mohammad, usiniambia habari za Baha'ullah, Buddha ndo basi! hindu, Sikh nk

meditation ni nzuri na ni muhimu kwa maisha yetu ili kufika tukutakapo. I like it and I do it daily. karibu tu-meditate mkuu

No comments: