Friday, September 30, 2011

tukiangalia mifumo ya hesabu, kikompyuta ni 0 na 1 tu


huwezi amin kuwa katika masuala ya kompyuta hutumika namba mbili tu yaani 0 na moja, kila kitu katikakompyuta kiko katika 0 na1, mfumo huu wa namba huhitwa binary system. mfumo tuutumiao wa kuhesabu namba kumi huhitwa deciamal system, na inaonekana ni kutokana na binadamu kuwa na vidole kumi.

ila sasa jeshini hutumia namba nne tu ili kukamilisha gwaride. yaani 0, 1, 2 na 3. hutawasikia wakisema, nyumaaa geuka (0), moja, mbili tatu moja. geuka (0), moja, mbili tatu moja nk nk

ni hesabu tu

1 comment:

Goodman Manyanya Phiri said...

Moja ni ni msingi lakini. Hata milioneri akidondosha shilingi moja katika hizo pesa zake, siye milioneri tena.