Tuesday, October 11, 2011

migogoro pahala pako pa kazi

unapokuwa pahala ambapo uwepo wako unahatarisha maslahi ya watu, unapokwenda pahala pa kazi na kujaribu kuleta mifumo mipya ya ufanyaji mambo kwa watu ambao hawako tayari kabisa kubadilika

unapokuwa pahala ambapo kuna inferiority complex na kutojiamini. unapokuta chochote ukifanyacho ni dhambi na nikibaya hakimvutii hata mmoja, unapojihisi kunyanyappaliwa katika matumizi ya mali za ofisi,


what next? kwani huwezi ishi bila hiyo kazi? au uvumilie japo unaumia? si ushagundua huwezi kubadilisha mtu au kitu?

najiliza tu wakuu

2 comments:

SIMON KITURURU said...

The strong will survive!

Munale said...

Inategemea na nature ya kazi hiyo,kuna kuondoka na kwenda kuanzisha mradi mwingine au kuendelea kustruggle hadi kieleweke!