Tuesday, November 8, 2011

soma hii juu ya ukimwi na mimba watu rangi tofauti

Sasa ngoja nikupe hii moja niliyoipata zamani kidogo (nah ii ni hadithi ya kweli!). Baba wa kiingereza alikuwa ana kazi iliyokuwa inamfanya atembee Afrika (nchi nimesahahu) mara kwa mara. Ikatokea akawa na rafiki (hawara) mwafrika, ambaye alikuiwa akija anakutana naye.

Ikaja kutokea mke wake akapata mamba, lakini akazaa mtoto mchanganyiko wa kiafrika na kizungu. Yule baba kwa hasira akamtariki mke wake. Mama wa watu hakuwa amewahi kutembea nje ya ndoa, akaamua kuweka wapelelezi wake (ma-FBI!!) wakafanya utafiti wa kina; mwishowe wakagundua kuwa mumewe alikuwa na hawara mwafrika ambaye naye alikuwa na “boyfriend” mwafrika. Katika kutafiti zaidi, ikaonekana kuwa yule mzungu, siku anatoka Afrika kurudi kwao, alilala na huyo hawara yake ambaye muda mfupi tu alikuwa ametoka kulala na “boyfriend” wake mwafrika. Ikaonekana kuwa yule mzungu alipokea (ingawa siyo kawaida wanaume “kupokea”) mbegu za kiume za “boyfriend” wa hawara yake na alipofika nyumbani tu akalala na mkewe na kumwekea mbegu hizo (yaelekea za mwafrika zilikuwa na nguvu kuliko zake!!) hivyo yule mama akazaa mtoto mchanganyiko!!

Yaliyofuata usiniulize, ila sasa najiuliza

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kamala! kama kweli hii ni hadith ya kweli , duh! sijui sasa itakuwaje..Nani sasa ataonekana katoka nje?..

Anonymous said...

aliye toka nje ni mwanaume jasinta