Tuesday, December 20, 2011

20/12/2009 na sasa ni 20115 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongereni sana bwana na bibi Lutatinisibwa Lutabasibwa kwa kutimiza miaka 2 ya ndoa. Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki mpate tunda jingine kwani moja tayari tumeliona:-)

Goodman Manyanya Phiri said...

Safi sana!

Lakini mumefanana kweli. Mumewauliza wazee nyie sie ndugu hata kidogo kabla ya hapo?


(Na waza kwa sauti tu, labda ninawivu, mnapendeza wote wawili, sura zenu nzuri, tabasamu zenu nzuri. Nawatakieni ushirikiano wa milele katika magumu na mazuri...Amina!)

Mija Shija Sayi said...

Hongereni sana jamani, Mungu azidi kuwa nanyi na azidi kuwaongezea upendo.

@Kaka Manyanya jamani acha kuwarusha roho wenzio, ingawa hata mimi naona wamefanana.

Mbarikiwe.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Miaka miwili tayari ishapita? Hongereni!

chib said...

Nasikia mna watoto 4 sasa na sio mapacha....
Hongereni bana nyie vijana!