Thursday, December 29, 2011

niko likizo ya Xmass wakuu ndo maana sipo kijiweni kwetu. napata wasaa mzuri saana wa kuhudhuria shambani kwangu. nafanya kilimo vyema hapa niko bize ni full kilimo kwa kwenda mbele mpaka mwisho wa likizo wiki ya pili ya january 2012

tuko pamoja natarajia mazao yatakayopandwa yavunwe juni 2012. nitawashirikisha katika kuyala wakuu. mbogambaga na nafaka kwa kwenda mbele

5 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Nakupa heri ya mwaka mpya 2012, maana yake nikisubiri keshokutwa wewe utakuwa shamba na hutapata ujumbe wangu kwa wakati unaostahili.

Ubarikiwe ndugu yangu na Full Kilimo hiyo. Maana yake bila nyie wakulima hatuli kabisa....


Kwa sasa, ...Wacha niende jikoni nikapike ugali kidogo... tena umenikumbusha!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

asante ndugu. mwaka mpya wanikuta tu shambani

Yasinta Ngonyani said...

Blog ya maisha na Mafanikio nayo inatoa salamu za mwaka mpya 2012 na pia inakutakia kila la kheri na kilimo...Tutaonana mwakani kamala.

Candy1 said...

Heri ya mwaka mpya kaka :-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mwakola