Monday, December 12, 2011

nilibatizwa tarehehii 12/12/1982


laiti ningekuwa mkristo bora, ningesheherekea sikukuu kubwa hivi kwani ni tarehe kama ya leo na mwezi huu miaka 29 iliyopita ndipo nilipofanywa kuwa mkristo kwa kubatizwa kwa maji kwajina la baba, mwana na roho mtaka-tifu amen.

nilikua nikiiupenda sana ukristo wa ki-lutheri na nilitamani sana kuwa mchungaji, lakini nilivyozidi kukua na kuchanganywa na ukristo ndivyo nilivyochepuka na kuachana na mfumo huu baadae nikabaki kuwepo bila msimamo katika masuala ya dini japo nafanya maombi ya tafakuri wenyewe huiita mediatation.

ingekuwa siku kubwa leo

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni siku kubwa hata hivyo!!

Goodman Manyanya Phiri said...

Shukuru tu sikukupa mimi hapa ubatizo huo. Ningeyamaliza yote matatizo siku hiyo hiyo! Kwani mtoni kwenyewe ungetoka ungali bado hai? Hai labda lakini SIYO KWA MATAKWA au nia YANGU nakuambia!(mbona sipati hata barua pepe kutoka kwako?)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

karibu tena manyanya

Anonymous said...

Pole sana kwa kukosa uelewa na Lutheran.Mungu akusaidie ili uone kama iko njia ya kumwabudu Mungu wako kwa roho na kweli.Dhehebu haliwezi kukuingiza mbinguni,bali imani yako na dha,iri yako njema mbele za Mungu.

Mimi kama Mlutheri najivunia sana kuwa mkristo wa kilutheri kwa sababu najua ninayemwamini na misingi ya imani yangu.Nakuombea Mungu aendelee kukuwezesha kuujua ukweli unaoutafuta kiimani.usiangalie watu na viongozi wa dini kwani hata hao ni kama wewe tu.Muangalie Yesu pale msalabani pekee.

Anonymous said...

Mungu akufungue macho yako rohoni ile uijuwe ile kwelina uweze kumwabudu kwa roho na kwel.i

Anonymous said...

kwani kumwabudu mungu razima uwe:mluteli,mkatoliki au mwisilamu?wewemwenyewe unamjua mungu kama wewe sio razima kupitia kwa nini sijui nini