Monday, January 30, 2012

kuhusu pinda na madaktari..............

au ni kwa kuwa Pinda na wanasiasa wenzake hawatibiwi nchini hutibiwa kwa wadhungu?? eti Dr anayeanza hulipwa liki tisa, hii ni kabla ya makato kibao. anatoa mfano wa watu wanaolipwa kidogo kuliko madaktari, hasemi yeye analipwa sh ngapi kwa mwezi na hata marupurupu, anasahau kuwa docta hana mda wa ujasiriamali kama wangine, anasahau kuwa docta anaweza kuajiriwa popote duniani nasisi wenye uhaba tukawapoteza wachache tulionao. Pinda linganisha mshahara wako, marupurupu yako wa wabunge na madaktari tuone ukweli uko wapi. je wewe ungekuwa Dokta ungelidhika?? kama ndio mbona sasa unamishahara na marupu rupu kibao kuliko madakari? mbona husemi kiasi unachopokea?

No comments: