Tuesday, January 10, 2012

safari ya ukweni! hukutani na mama mkwe

nikiwa ukweni hivi karibuni, nilifurahia maisha ya kuwa na wazazi wa mpendwa wangu. kukaa nao na kufurahia maisha nao
lakini nifuraha kweli> uwapo ukweni inabidi uonyeshe nidhamu ya woga na hata ya kinafiki ikibidi!

kali zaidi ni ule utamaduni wa wahaya na wanyambo wa kutokukaribishana, kupishana wala kukutana na mama mkwe kwa wanaume na baba mkwe kwa wanamama.
kwa muda wa juma zima nililokaa ukweni, kwakweli sikuweza kuonana na mama mkwe. anawajibu wa kukimbia mbio kila akiniona naelekea sehemu fulani/alipo

kwakweli huu ni utamaduni mpya wa ajabu na labda wa aina yake wavutia pia

1 comment:

Anonymous said...

NDIO lazima aone aibu jinsi unavyo shika hamsa ishirini kumtandika mwanaye hivyo lazima ajile akashoni