Thursday, March 8, 2012

ni siku yetu wanawake na products zao

ni kweli ni siku yawanawake. tumezaliwa na wanawake au tuliiishi kwenye matumbo yao. tukazaliwa nao. tukala maziwa ya vifua vyao tunafurahia huduma zao.
naishi na mke. natamani kijana wangu aoa mke. nitazaa mototo mwanamke.

mwanamke mwanamke. sjawahi kuwa karibu na mama lakini nafahamu nafasi ya mama. mke wangu akitoka nyumbani, huwa kama pori, akirudi huwa kama madhabahu.

wanawake nyie ni upendo wa ulimwengu. ni maua yake, ni matibabu ya ulimwengu ni ishara ya ukuu wa muumbaji

nawapenda wanawake

Angalizo; uzuri wa mwanamke umo ndani ya mwanamke mwenyewe.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Kamala nami nasema wanawake oyeeeeeeeeeee