Wednesday, March 28, 2012

usafir huu mpya
Na huu sasa ndio usafiri wangu binafasi wa haraka usiona gharama kubwa mazoezi, unahakiskisha Kitambi hakichomozi. Naufagilia sana usafiri huu wa kisasa.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kumbe tupo wengi..safi sana Kamala!!

Simon Kitururu said...

Bomba la usafiri! Ukiusifia sana utaibiwa HUO aisee! Au?