Monday, April 16, 2012

JK mwenye heri?

kutokana na wanasiasa wengi waliokwisha kufa na viongozi wa dini
kuitwa wenye heri ili baadae wawe wataka-tifu, nimeamua kupendekeza JK
kikwete kuwa Mwenye heri kutokana na kuwa anaongoza taifa Tajiri lenye
watu masikini kama ilivyokuwa kwa Nyerere na Sokoine,
amekaa sana angani huku akituongoza sisi wa ardhini, wabamsifia kuwa
ni mzuri yawezekana anawazidi maraisi wote kwa hili. alitoa ahadi za
kutupeleka peponi bila kulazimika kufa kwa maisha bora yasiyomithilika

tusisubiri afa, na tumtangaze mwenye heri sasa.

Kikwete Ni Mwenye Heri

angalizo; sikufuata vigezo vilivyozoeleka na nimejipa mamlaka haya
--

No comments: