Thursday, May 17, 2012

nimepata ujumbe huu kuhusu dini

"KAKA

dini ni ujinga na ni ulevi usio kuwa na mantiki epukeni Dini ila Dini zetu ziwe ni upendo"


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mmmhh! kaazi kwelikweli

batamwa said...

ndio ni kweli mdau kwasababugani mwislamu anamdharau mkristo,mkristo anamdharau mwislamu,wale wenzangu na mimi tunaofanya matambiko tunadharauliwa na wote hao sasa sibora uwe na upendo upende wote si unaona hapo ndio dini sahihi? au sio dadaYasinta?kwamaana Mungu ni upendo apenda watu mungu ni pendo anipenda...!!?halafu dada umerudisha haya maword ferication usumbufu