Tuesday, May 15, 2012

Yusufu wa Alimatiya ndiye baba wa kibaiolojia wa yesu???

nisihukumiwe ni habari ya kusikia hii


 nilisikia yakuwa yule Yusuf wa Almatiya (sio seremala), ndie aliyempachika mimba bikra maria. Yusufu alikuwa mzee wa heshima huko uyahudi na alikuwa msomi na cheo serikalini. tamaa ilimshinda akampachika mimba binti mdogo mariam. kumbuka adhabu ya kosa kama hilo ilikuwa ni kupigwa mawe mpaka mauti. basi ikabidi wazee wenye busara (malaika) wakae na kutafuta jinsi ya kumnusuru mwenzao katika hili, wakakaa na kugundua kuwa alikuwa akitarajiwa kuzaliwa Messiah, basi wakasema hapa ndo penyewe, tuseme hii ni mimba ya roho mtakatifu, imeingia kwa njia ya roho mtakatifu. Yusuphu seremala alikuja juu kwani mchumba wake ana mimba na hajawahi kulalanaye, wakamwonya akae kimya maana hii ni mimba ya kubwa.

akachaguliwa mzee (malaika) Gabriel kwenda kumpa habari Mariam, akamwambia 'usiogope' kwa nini hasiogope?? hamna kifo cha kupigwa mawe tena!


basi kama unajua kanuni za nguvu, maria kaaminishwa hivyo na jamii ikaaminishwa hivyo ikapeleka nguvu huko. yesu mwenyewe aliaminishwa na kupata nguvu hizo nk

wanasema yesu alikulia vyuoni huko alikokuwa akifundisha yosefu, baadae akahamia kwa wabuddha na kurudi kwao kupiga injili. na wanasema ndio maana Yusufu wa alimatiya alikuja kuchukua mwili wa yesu na kuuzika!


No comments: