Wednesday, June 20, 2012

bunge la bajet, fkra mgando dhidi ya fikra fresh

politics, siasa. naagalia vijembe bongeni vinavyorishwa kutoka pende pinzani na pande tawala. jamaa wamekosa hoja na sasa wanaanza kuelimishana. sijui kama una aleyeenda bungeni kumuelimisha mwenzake au kuwasemea wali wanaoaminika kuwa wamemtuma

ulimwengu huu una watu wanaofikiria kwa kasi na wasio na uwezo wa kuendana na kasi hiyo, wao wanabaki kuona kuwa wamezalauliwa, wanahitaji kuombwa radha na ikibidi wana walaani vijana. wabunge wenye umri mkubwa wanawaonya vijana kuwa huu sio utamaduni wetu au tunakoelekea ni kubaya wakati ham na utamaduni usiolazimika kubadilika na wala tunakoenda hakuwahusu wale ambao wanatarijia kuwa wamekufa

tunahitaji watu wenye bongo zinazofanya kazi kwa kasi kubwa ili kukomboa muda, kuleta mabadiliko na kuwa wabunifu wa njia mpya za ufanyaji mambo, ndicho ninachokiona katika bunge hili la sasa

No comments: