Monday, June 11, 2012

nukuu

The most precious possession that ever comes to a man in this world is a woman's heart.
~ J. G. Holland

4 comments:

emu-three said...

Yes,yes Mkuu.....

Anonymous said...

Zamani za Wagriki (Wayunani), Warumi na Wayahudi (kukingana na elewa yao ya anatomy), walifikiria kuwa moyo (heart) ndio kitovu cha uzima.

Kajini leo hii dhana hiyo ya zamani imebadilika. Moyo ni msuli wa kusukuma na kupokea damu. hauma lolote, ukilinganisha na ubongo.

Ubongo ndio centre; sio moyo! Unaweza ukawekewa moyo wa chuma au wa tumbili ukaishi. lakini huwezi kuwekewa ubongo wa chuma au wa tumbili ukaishi.

Huyo Holland angweza kusema: Woman's brain!

Anonymous said...

kukingana ISOMEKE kulingana

Kajini ISOMEKE Lakini

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mimi naogopa sana hiyo brain ya mwanadamu!kuliko moyo