Friday, August 31, 2012

sasa naurdi jamani

Jamani ehe, kwa kipindi kirefu nimekuwa sipo mtandaoni, hata pale nilipokuwepo nilisuasua kwa sana ile mbaya yaani, 

nitumie fursa hii kuomba radhi na kutoa taarifa kuwa baada ya kukabiliana na changamoti zote, sasa nimeamua kurudi rasmi mtandaoni

nimekuja kwa nguvu mpya kabisa

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika yaani ni leo hii nilikuwa nataka nipeleke mshtaka kuwa umepotea..Karibu sana Kamala:-) ulimissiwa kwa kweli

Anonymous said...

onyegere ojire akanyeto,waitu watushangamu

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Tena mimi nilikuwa nakutafuta kwa hali na mali...

Afadhali umerudi. Tutawasiliana !!!