Monday, September 17, 2012

kuokoka

kuokkoka ni kitu gani? mtu aliyeokoka anafananaje?

Je Ukisikia mwendashaji wa blogu hii kaokoka utasema nini wakati inajulikana ni atheist?

najiuliza haya maswali kwa leo kabla ya kuendelea na yale ya kesho

by Kamala L

Bukoba

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nikisikia Kamala kaokoka nadhani nami nitaokoka lakini hivi watu wanaokoka hapa duniani? au ni imani tu? nimewaza kwa sauti tu hapa...

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

haya sasa