Saturday, October 6, 2012

barua ya kukataliwa na aliyemtarajia!

 • Dear Joyse, ulitarajia niwe malaika mimi/ hapana
   
  Nirifurahi sana kuchat nawe on facebook ila madai yako kwamba nilitaka kote kote sio sahihi, remember i was a very lonely man waho neede someone to b with, sijawahi kupendwa maishani mwangu, nilihitaji mtu wa kunipenda nami nimpende,

  Kama tulivyoongea siku ile dar i hope i told u though little about my life history na kwa hiyo by the time nakuja kufahamiana nawe i was realy alone needing someone to be with.


  You came to my life like an angel and i believed you loved me or wished to be with me just like I was wishing. Ukweli ni kwamba sikujiamini nilipofahamiana na wewe na kuwa namtizama wa kimahusiano, na kama unasaikolojia kidogo, ua could see. Whenever we talked, i was not confortable, sikujiamini aminikwamba mwanamke mzuri, mrembo na mwerevu kama wewe aweza kuingia kwenye maisha yangu na kuwa wangu! Sikujiamini sana


  Anyway hata kama unaongelea mapungufu on my side (kwamba nilitaka kote) yalipaswa kuomalizwa nawe kama tungekuwa wote, i think u know, sisi wanaume nikama watoto wadogo, we need someone (a women) to treat us, to take care of us just like a little baby


  Anyway my lif goes on ila kushindwa kuwa na wewe ni moja wapo kati ya failrures nilizowahi kukutana nazo maishani.


  Alla the best dear . u will never get out of my mind


  NB umebadilisha email add yako??

No comments: