Tuesday, October 2, 2012

mwanza nitarudi tena jamani

ni miaka kadhaa tangu nihame miji mikubwa, imani yangu ni kuwa mimi ni mtu wa vijijini au miji midogo. kwa mda wa siku mbili niliokaa hapa, mambo ni mazuri lakini pia ni changamoto.

jiji la Mwanza linizidi kuwa na msongamano, idadi ya watu inaogezeka ni msongamono kila kona. mji una hali ya hewa nzuri na kiasi ni msafi.

mwanza sasa inaelekea kuwa kama Dar, bila mipangilio mizuri mji huu utakuwa haupitiki tenna kwamisongamano

mji huu ukipangwa vizuri waweza kuvutia sana kuliko maelezo. ni mji uliozungukwa na ziwa Victoria. umechangnaya makabila mengi tu ya tanzania. interesting to see

No comments: