Friday, November 2, 2012

ni mwaka mwingine wa kuwa kijiweni

kila mwezi november huwa tunasheherekea birthday ya kijiwe hiki. ni kweli sasa kijiwe kinazidi kukua na kuwa na umri wa mtu mzima. sasa kijiwe kimeongezeka umri na kufikia miaka 6 tangu kianzishwe mwaka 2006.

shukrani zangu ni kwa wasomaji wangu kwani ndio wanipao nguvu na hata moyo wa kuendelea kuwepo hapa au kusavive

kwakweli nakipenda kijiwe hiki japo wakati mwingine shighuli huniabana na kunifanya niwe kama nimekitelekeza kwa Muda. zote ni changamoto a maisha lakini siwezi hata kidogo kukitelekeza kwani nakipenda kuliko kutokukipenda!

haappy birthday kijiwe

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa kutimiza miaka sita..twashukuru uwepo wa kijiwe hiki na mmiliki wa kijiwe hiki...uzidi kudumu.