Saturday, December 1, 2012

kuhusu siku ya ukimwi na historia ya gonjwa hilo mkoani kagera

Mwaka 2008 niliandika makala ya kiingereza kuhusu gonjwa la ukimwi nilivyolishuhudia mkoani kagera nikiwa kijana mdogo kabisa. leo nimeona umuhimu wa kurejea makala hiyo ya kusisimua na ya aina yake kuhusu ukimwi. weweza isoma kwa kubofya HAPA ili ujionee mwenyewe na kuhabarika kama sio kujikumbusha Ninsiima waitu

No comments: